KISENA GROUP & CO. LIMITED (KGC) - We Bring Back Hope
Sisi KGC Tunathamini wateja wetu na Wateja wa Mteja wetu. Tunathamini utunzaji wa Mahusiano ya wateja wetu usipotee.
KGC kazi yetu ni kumsaidia Mteja wetu kuhakikisha anapata haki yake huku akiendeleza mahusiano mazuri na mteja wake.
KGC Auctioneer tunakusanya madeni, Tozo, Ushuru na Kodi ya aina yeyote ile katika Halimashauri, Masoko, Makampuni, Taasisi za kifedha na watu binafsi.
Tunakusanya madeni kiufanisi na uhakika kwa namna ambayo mteja wetu atazidi kuwa na mahusiano mazuri na mteja wake.
KGC We Bring Back Hope
Tutarejesha matumaini yako yaliyopotea
Wasiliana nasi:-
KISENA GROUP & CO.LIMITED
P.O BOX 237
Dar es Salaam
kisenagroup@yahoo.com
(+255) 717 381 820 , (+255) 748 200 001
Social Plugin