Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ZILE NDOO ZA KUCHUJIA MAJI YA KUNYWA SASA ZIPO MTAANI KWAKO....PIGA 0753392805

 BS- Africa Water Filters imekusogezea karibu ndoo maalumu za kuchujia maji ya kunywa majumbani ambapo kulazimika kuchemsha maji.

 Ndoo (filters) hizi hazitumii umeme, hazitumii kemikali wala dawa, zinachuja maji na yanakuwa safi na salama. Ndoo hizi ni rahisi kuzitumia na ni rafiki kwa mazingira. 

Punguza gharama za kununua maji lakini pia kuchemsha maji kwa kutumia Filters hizi.

Tunapatikana Majengo Mapya Mjini Shinyanga. Kwa waliopo nje ya Shinyanga utatumiwa mzigo wako kwa wakati na usalama kabisa. 

Mawasiliano piga simu namba 0753392805

Chaguo sahihi kwa ajili ya familia yako, ishi kisasa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com