Mchezo umekamilika Uwanja wa Mkapa na Simba SC imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa kirafiki katika tamasha la Simba Day leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Bao pekee la Baleke Jean dakika ya 84 limetosha kuwapa TP Mazembe ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin