Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt.Wilson Mahera akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata yanayoendelea Mjini Morogoro. Tume ya Uchaguzi inataraji kufanya Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Konde (Zanzibar) na Ushetu (Shinyanga) pamoja na Kata 10 za Tanzania Bara Oktoba 9,2021.
Dkt. Mahera amewataka watendaji hao wa Uchaguzi katika Ngazi ya Jimbo la Ushetu na Kata 10 za udiwani kufanya kazi kwa weledi na kuepusha migogoro isiyo na tija.
Pia amewasisitiza kuteua watendaji wa uchaguzi ngazi ya vituo weledi wa kufanbya kazi hiyo kwa ufanisi na si kuteua watu kwa urafiki au undugu.
Kata zitakazo fanya uchaguzi na Halmashauri zake katika mabano ni Kileo (Mwanga DC), Neruma(Bunda)Kagera–Nkanda(Kasulu DC) Luduga(Wanging’ombe), Vumilia (Urambo),Lyowa (Kalambo),Buyuni(Ilala), Dongo(Kiteto, )Lighwa(Ikungi) na Ndembezi (Shinyanga).
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt.Wilson Mahera akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata yanayoendelea Mjini Morogoro. Tume ya Uchaguzi inataraji kufanya Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Konde (Zanzibar) na Ushetu (Shinyanga) pamoja na Kata 10 za Tanzania Bara Oktoba 9,2021.
Washiriki ambao ni Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi.

Wakurugenzi wa Tume wakiwa ukumbini.
Mjumbe wa Tume, Jaji (Mst) Mary Longway akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi.
Washiriki wakimsikiliza Mkurugrenzi wa Uchaguzi kwa umakini

Maofisa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Social Plugin