Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

AWESO AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI, AWAPA KAZI YA KUKAMILISHA MIRADI YA MAJI YA PEMBEZONI YA DAR


Waziri wa Maji, Jumaa Aweso(kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mhe. Dkt. Christine Ishengoma wakizindua Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira , Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA uliofanyika leo jijini Dar es Salaam
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso(kulia) akikabidhi vitendea kazi Katibu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada ya kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA uliofanyika leo jijini Dar es Salaam

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com