‘Surprise’ ya mchezaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi imeamsha shangwe kwa maelfu waliofurika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Okwi leo Septemba 19, 2021 kwenye Tamasha la Simba Day
Okwi pia amedokeza kuwa leo amekuja kama mshabiki kwa mwaliko maalum wa Mwekezaji wa Simba Mohamed Dewji.
Mchezaji huo kipenzi cha wana-simba, amegusia kuhusu kurejea msimbazi na kusema dirisha dogo haliko mbali chochote kinaweza kutokea, simba itajitupa uwanjani kumenyena na T.P Mazembe ya DRC kwenye Mchezo wa kirafiki ikiwa leo ni Simba Day.
Social Plugin