RAIS MWINYI AVUNJA BODI YA USHAURI YA KUDHIBITI VILEO ZANZIBAR
Wednesday, September 08, 2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya ushauri ya kudhibiti vileo Zanzibar.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Said imesema hatua hiyo ni kuanzia Jumanne Septemba 7, 2021.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin