Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BARRICK NORTH MARA ILIVYOADHIMISHA SIKU YA CHAKULA DUNIANI


Wafanyakazi wa Barrick North Mara katika picha ya pamoja na wafanyakazi na watoto wanaolelewa katika kituo cha Angel House.
Wafanyakazi wa Barrick North Mara katika picha ya pamoja na wafanyakazi na watoto wanaolelewa katika kituo cha Angel House.
Meneja wa Mahusiano ya Jamii wa Barrick North Mara,Gilbert Mworia akikabidhi chakula kwa mmoja wa wawakilishi wa kaya zisizo na uwezo kutoka maeneo yanayozunguka mgodi
**

Katika kuadhimisha Siku ya Chakula Duniani 2021, Barrick North Mara, ilitoa msaada wa chakula katika kituo cha kulea watoto yatima cha Angel House, kilichopo mjini Tarime mkoani Mara ambacho kinalea watoto 65.

Mbali na kutoa msaada wa chakula katika kituo hicho pia ilitoa msaada wa chakula kwa baadhi ya kaya zisizo na uwezo katika vijiji vinavyozunguka mgodi ambazo zimesajiliwa katika Mpango wa kunusuru kaya Maskini Tanzania (TASAF).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com