Picha ikionyesha namna unaweza kuhamisha data na chats za WhatsApp
**
Sasa unaweza kuhamisha data na chats zote za WhatsApp kutoka katika simu za iPhone kwenda simu za Android (Google Pixels) kwa kutumia waya wa USB-C Lightning Cable ambao upande mmoja ni USB-C na mwingine una-pin ya iPhone.
Mtumiaji atachomeka waya huo katika iPhone anayotaka kuhamisha data za WhatsApp na simu ya Google Pixel kisha atapewa QR Code ya ku-‘scan’ na maelezo na baadae WhatsApp itahamisha data zote kwenda katika simu ya Android.
Social Plugin