Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MITANDAO YA WHATSAPP, INSTAGRAM NA FACEBOOK YAZIMWA GHAFLA



Watumiaji wa Mitandao ya Facebook,Instagram na WhatsApp maeneo mbalimbali duniani wamekumbwa na changamoto ya kutofikia huduma kuanzia majira ya jioni ya Oktoba 4,2021 ambapo baadhi yao wamejikuta wakiongeza salio la data/MB wakidhani bando limeisha kumbe la!

Hata hivyo Kampuni ya Facebook imethibitisha kwamba Mitandao yake ya Facebook,Instagram na WhatsApp imepata tatizo na kufanya baadhi ya Watumiaji kushindwa kufanya chochote kwenye Account zao, kwenye taarifa yao wameomba radhi na wamesema wako kazini kulitatua tatizo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com