Benki ya NMB tawi la Wami mkoani Morogoro leo Jumatatu Oktoba 4,2021 imezindua Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kusherehekea na wateja wao na kuahidi kuboresha huduma hasa upande wa digitali ili kumuwezesha mteja kujihudumia mwenyewe. Picha na Jackline Lolah Minja
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Wami Morogoro, Josephat Alone Mwaipaja akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Social Plugin