Wimbo Mpya : NTEMI OMABALA - HARUSI YA MSANII KISIMA 'NYANDA MAJABALA'
Thursday, October 28, 2021
Msanii wa Nyimbo za asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo kuhusu Harusi ya Msanii wa Nyimbo za asili Kisima 'Nyanda Majabala' kutoka Mkoani Simiyu... Sikiliza hapa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin