Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KIJANA AMUUA BABA YAKE KISA KALA NYAMA YOTE YA KUKU NA KUMBAKIZIA KICHWA TU



Picha ya Godwin Matthew
Polisi nchini Nigeria wanamshikilia Godwin Matthew (26) kwa tuhuma za kumuuwa baba yake, Matthew Audu (64) baada ya kula nyama ya kuku yote kisha kumbakishia kichwa mwanae huyo.

Afisa Uhusiano wa Polisi katika jimbo la Ondo, DSP Funmi Odunlami amethibitisha tukio hilo la mauaji liliripotiwa katika kituo cha Polisi cha Ala na mke wa marehemu baada ya Godwin kutekeleza tukio hilo wakiwa shambani.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com