Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

UONGOZI WA MKOA WA MARA WAFANYA KIKAO NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUJADILI MIKAKATI YA KUIBORESHA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Mara kuhusu jitihada za Serikali za kuhakikisha Hifadhi ya Taifa Serengeti inaongeza idadi ya watalii, katika kikao kilichofanyika ofisi za Maliasili –Swagaswaga leo.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Mara (hawapo pichani) kuhusu jitihada za Serikali za kuhakikisha Hifadhi ya Taifa Serengeti inaongeza idadi ya watalii, katika kikao kilichofanyika ofisi za Maliasili –Swagaswaga leo.


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye akichangia mada kuhusu namna ya kuboresha mazingira ya Hifadhi ya Taifa Serengeti ili kukuza utalii wakati wa kikao na viongozi wa Mkoa wa Mara kilichofanyika Ofisi za Maliasili- Swagaswaga jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Philip Chitaunga (kulia).


Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Ally Hapi akitoa maelezo kuhusu namna Mkoa wake ulivyojipanga kuhakikisha Hifadhi ya Taifa ya Serengeti inakua katika kikao kilichofanyika Ofisi za Maliasili- Swagaswaga jijini Dodoma leo.


Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Philip Chitaunga (kulia) akichangia mada wakati wa kikao kati ya viongozi wa Mkoa wa Mara na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) kilichofanyika Ofisi za Maliasili- Swagaswaga jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye.


Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Utalii Richie Wandwi akichangia mada wakati wa kikao kati ya viongozi wa Mkoa wa Mara na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) kilichofanyika Ofisi za Maliasili- Swagaswaga jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye.


Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Mipango Boniface Mallyaakichangia mada wakati wa kikao kati ya viongozi wa Mkoa wa Mara na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) kilichofanyika Ofisi za Maliasili- Swagaswaga jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Ludovick Nduhiye.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akiongoza kikao kati yake na viongozi wa Mkoa wa Mara kilichokuwa na lengo la kujadili mikakati ya Serikali ya kuhakikisha Hifadhi ya Taifa Serengeti inaongeza idadi ya watalii, kilichofanyika ofisi za Maliasili –Swagaswaga leo.


Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Mhe. Dkt. Vicent Mashinji akitoa maelezo ya namna wilaya yake ilivyojiandaa kushirikiana na Serikali kukuza utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kwenye kikal kilichofanyika ofisi za Maliasili –Swagaswaga leo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Ally Hapi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com