ANTONIO CONTE ATHIBITISHWA KUWA KOCHA MKUU WA TOTTENHAM
Tuesday, November 02, 2021
Klabu ya soka ya Tottenham imemthibitisha Antonio Conte kuwa kocha wao mkuu baada ya kumtimua Nuno EspÃrito Santo. Conte mwenye miaka 52, aliachana na Inter Milan baada ya kuipa ubingwa wa Italia msimu uliopita wa 2020-21.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin