Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Bhuhangwa... Kupitia wimbo hhhuu Gwiji huyu wa nyimbo za asili kutoka Kahama mkoani Shinyanga anaelezea jinsi utamaduni unavyopotea katika ngoma za jadi ambapo sasa badala ya kutumia ngoma za asili zilizotengenezwa kwa ngozi ma manju nao wanatumia vifaa vya kisasa ( Magitaa na vibanda)
Social Plugin