Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA MABENKI YA STANDARD CHARTED GLASGOW SCOTLAND

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na  Mwenyekiti wa Bodi ya Mabenki ya Standard Charted katika ngazi ya Kimataifa  José Viñals mara baada ya mazungumzo yao Glasgow Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com