MAMLAKA YA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MOROGORO

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya akielezea kuhusu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA).Mafunzo hayo yamefanyika mkoani Morogoro. Kamishna Msaidizi wa kinga na huduma za Kijamii kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya akitoa mada kuhusu Dawa za kulevya na Madhara yake.Mafunzo hayo yamefanyika mkoani Morogoro.Mwanahabari Bw.Benny Mwanantala akichangia mada katika mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu kupambana na kuzuia matumzi ya madawa ya kulevya yaliyofanyika mkoani Morogoro.

Mafunzo yakiendeleaMafunzo yakiendelea

Mafunzo yakiendeleaWaandishi wa habari mbalimbali wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambapo Mafunzo hayo yamelenga namna walivyojipanga kupambana na kudhibiti Matumizi ya Madawa ya Kulevya. Mafunzo hayo yamefanyika mkoani Morogoro. Shuhuda ambaye anadai aliwahi kuwa muathirika wa dawa za kulevya Bw.Ahmed Khatibu akielezea namna alivyopoteza matumaini mara baada ya kutumia dawa za kulevya na kuua ndoto zake.Ametoa ushuhuda huo leo mkoani Morogoro mbele ya waandishi wa habari.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post