Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi wakikagua gwaride maalum la Jeshi la Misri baada ya Rais Samia kuwasili Ikulu Cairo nchini Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021kwa ajili ya kuanza ziara ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi wakikagua gwaride maalum la Jeshi la Misri baada ya Rais Samia kuwasili Ikulu Cairo nchini Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021kwa ajili ya kuanza ziara ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi ujumbe aliofuatana nao kwenye ziara yake ya Kiserikali ya siku tatu chini Misri iloanza leo tarehe 10 Novemba 2021 kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi alipowasili Ikulu Cairo Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021 kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi alipowasili Ikulu Cairo Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021 kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Cairo Misri mara baada ya Viongozi hao kushuhudia utiaji saini Hati za makubaliano ya Elimu, Elimu ya Juu na Michezo kati ya Tanzania na misri leo tarehe 10 Novemba 2021.
Social Plugin