SERIKALI YATANGAZA FURSA YA KUSAFIRISHA PARACHICHI KWENDA INDIA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo(wa katikati upande wa kulia) leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano(MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India.

Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo(wa katikati upande wa kulia)leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano(MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India. Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post