Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS DK. MWINYI AHUTUBIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
VIONGOZI mbalimbali wa Taasisi za Serikali na Mashirika ya Umma Zanzibar wakihudhuria mkutano wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakifuatilia Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MWENYEKITI wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Ndg.Assa Ahmad Rashid akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com