Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Ntemi Omabala kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kutazama video yake mpya ya wimbo 'Kisima' unaohusu Harusi ya Msanii Maarufu wa Nyimbo za Asili Nyanda Majabala ' Kisima' kutoka Bariadi mkoani Simiyu.
Tazama Hapa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin