Picha ya msanii Shilole na gari alilopata nalo ajali
**
Msanii na mfanyabiashara Zuwena Mohammed 'Shilole' ameshea taarifa ya kupata ajali ya gari kwenye page yake ya Instagram akiwa maeneo ya Chalinze mkoani Pwani.
Katika video Shilole ameshukuru mungu kwa kuandika "Mungu ni mwaminfu siku zote, Asante tumetoka salama"
Baada ya taarifa hiyo mastaa mbalimbali nchini na mashabiki wake wamempa pole Shilole kwa tukio hilo la kupata ajali.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin