Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MAADHIMISHO MIAKA 60 YA UHURU YAFANYIKA SHINYANGA



Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akitoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru mkoani Shinyanga leo Jumatano Desemba 8,2021 katika uwanja wa CCM Kambarage ,ambapo kilele chake ni kesho katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. Picha na Marco Maduhu - Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akitoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru mkoani humo, ambapo kilele chake ni kesho katika uwanja wa uhuru Jijini Dar es salaam.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Shinyanga.
Watumishi wa Taasisi ya Benki ya CRDB wakiwa na Mabango kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Shinyanga.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wakiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Shinyanga.
Maandamano kuelekea kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yakiendelea mkoani Shinyanga, (kulia) ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura.
Maandamano yakiendelea siku ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Shinyanga.
Watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoani Shinyanga wakiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani humo.
Maandamano yakiendelea kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Shinyanga.
Maandamano yakiendelea kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Shinyanga.
Watumishi kutoka Taasisi ya kifedha Benki ya TCB wakiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Shinyanga.
Umoja wa vijana UVCCM Mkoani Shinyanga wakiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani humo.
 
CHANZO - SHINYANGA PRESS CLUB BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com