Hoteli ya Kisasa ‘Witeshi Paradise Hotel’ imezinduliwa Mjini Shinyanga ikiwa imesheheni huduma mbalimbali ikiwemo malazi ,vyakula, vinywaji, kumbi za sherehe/harusi na mikutano, eneo la michezo kwa watoto, Car Parking n.k
Witeshi Paradise Hotel inapatikana Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga jirani la Shule ya Msingi Lubaga na Agape Church Lubaga pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga.
Uzinduzi huo umefanyika leo Jumamosi Desemba 18,2021 ukiambatana na Ibada ya kubariki na ufunguzi wa Witeshi Paradise Hotel iliyoongozwa na Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa huku wadau mbalimbali waliohudhuria wakipata kifungua kinywa ‘chai/supu’ bure hotelini hapo.
Wakurugenzi wa Witeshi Paradise Hotel, Damian Peter Shirima na Mercy Shirima wametumia fursa hiyo kuwakaribisha wananchi kutoka ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga kupata huduma nzuri na bora katika hoteli hiyo kwa gharama nafuu kwani hoteli hiyo kwani lengo ni kumhudumia kila mwananchi.
Mawasiliano zaidi Witeshi Paradise Hotel piga simu namba +255 769 325 583 (Mkurugenzi) 0784 743 459 (Mapokezi) Email: witeshiparadisehotel@gmail.com
Muonekano sehemu ya nje ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga jirani la Shule ya Msingi Lubaga na Agape Church Lubaga pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Muonekano sehemu ya nje ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga.
Muonekano sehemu ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga.
Muonekano sehemu ya nje Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga.
Muonekano sehemu ya nje Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga.
Moja ya masanamu ndani ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga
Muonekano wa sehemu ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga Mjini Shinyanga.
Muonekano wa sehemu ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga Mjini Shinyanga.
Muonekano wa awali sehemu ya michezo ya watoto ndani ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga Mjini Shinyanga.
Muonekano wa awali sehemu ya michezo ya watoto ndani ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga Mjini Shinyanga.
Muonekano wa awali sehemu ya michezo ya watoto ndani ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga Mjini Shinyanga.
Muonekano sehemu ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga.
Muonekano wa awali sehemu ya Bar/Lounge ndani ya Witeshi Paradise Hotel iliyopo Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga.
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akikata utepe kuzindua Witeshi Paradise Hotel leo Jumamosi Desemba 18,2021.
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akibariki majengo ya Witeshi Paradise Hotel wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.

Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akibariki vyumba vya Witeshi Paradise Hotel wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akibariki ukumbi wa mikutano Witeshi Paradise Hotel wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akibariki vyumba vya Witeshi Paradise Hotel wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akibariki vyumba vya Witeshi Paradise Hotel wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akisaini kitabu cha wageni Witeshi Paradise Hotel wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akiongozana na Mkurugenzi wa Witeshi Paradise Hotel, Damian Peter Shirima (kulia) baada kubariki majengo ya Witeshi Paradise Hotel wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo.
Muonekano wa moja ya vyoo vya Witeshi Paradise Hotel
Muonekano wa moja ya vyumba vya Witeshi Paradise Hotel
Muonekano wa moja ya vyumba vya Witeshi Paradise Hotel
Muonekano wa moja ya vyumba vya Witeshi Paradise Hotel
Keki maalumu wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Mtoto wa kwanza wa wamiliki wa Witeshi Paradise Hotel akiandaa Keki maalumu wakati Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akijiandaa kuikata wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa (katikati) akijiandaa kukata keki wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akikata keki wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akikata keki wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Mtoto wa mwisho wa wamiliki wa Witeshi Paradise Hotel akimlisha keki Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akimlisha keki Mtoto wa mwisho wa wamiliki wa Witeshi Paradise Hotel
Wakurugenzi wa Witeshi Paradise Hotel, Damian Peter Shirima na Mercy Shirima wakilishana keki wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel.
Mtoto wa kwanza wa wamiliki wa Witeshi Paradise Hotel akijiandaa kufungua Shampeni
Wakurugenzi wa Witeshi Paradise Hotel, Damian Peter Shirima na Mercy Shirima wakigonga Cheers na Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa (kulia) wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Furaha ikitawala wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Paroko wa Parokia ya Moyo Safi wa Maria Shinyanga Mjini, Padre Anatoly Salawa akipata huduma ya supu wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Wadau waliohudhuria uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel wakipaya huduma ya kifungua kinywa 'chai/supu' bure

MC Mama Sabuni akizungumza wakati wa uzinduzi wa Witeshi Paradise Hotel
Mkurugenzi wa Witeshi Paradise Hotel, Mercy Shirima akiwakaribisha wateja kupata huduma bora katika hoteli hiyo inayopatikana Lubaga nyuma ya Ikulu ndogo Mjini Shinyanga jirani la Shule ya Msingi Lubaga na Agape Church Lubaga pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga.Mawasiliano zaidi Witeshi Paradise Hotel piga simu namba +255 769 325 583 Email: witeshiparadisehotel@gmail.com
Social Plugin