Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MTANGAZAJI MAARUFU STEVE MCHONGI AFARIKI DUNIA



Taarifa za kuaminika zilizotufikia hivi punde zinasema, Mtangazaji nyota wa vipindi vya michezo kutoka kituo cha Redio Free Afrika, Steve Moyo Mchongi amefariki dunia jioni ya leo Alhamisi, Januari 13, 2022.

Ndugu wa karibu wa marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba wa mtangazaji huyo nguli na kuahidi taarifa zaidi kutolewa baadae na familia.

Pumzika kwa amani Steve.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com