Mwili wa mama Lulu Diva ukipumzishwa kwenye nyumba yake ya milele
**
Mwili wa Mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Lulu Diva tayari umezikwa nyumbani kwao Mafele Muheza mkoani Tanga, leo mchana baada ya kufariki dunia juzi Jijini Dar es salaam
Mbunge wa Muheza Mjini Hamisi Mwinjuma Mwana Fa, Irene Uwoya, Whozu, Petitman Wakuache, Aristotee, Alice Kela ni baadhi ya mastaa waliojitokeza kwenye mazishi ya mama wa Lulu Diva.
Social Plugin