Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : RAIS MWINYI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa habari mbalimbali wa magazeti,runinga na redio nchini, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar Desemba 11,2021.(Picha zote na Ikulu).
Wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akijibu maswali wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari na wahariri, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Mwandishi wa Islam Seif akiuliza swali wakati wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na waandishi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com