Picha: RAIS SAMIA AKIONDOKA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM AKIELEKEA JIJINI DODOMA
Tuesday, December 14, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipokua akiondoka kwenda Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipokua akiondoka kwenda Mkoani Dodoma leo tarehe 14 Desemba 2021.
PICHA NA IKULU
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin