Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA WILAYA

Rais Samia amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya wawili (Moshi na Karatu) kwa kuwahamisha vituo vya kazi huku akiteua mkuu wa wilaya mmoja.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com