Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021. Pia wametangaza watahiniwa 10 bora wa kidato cha nne ambao ni:
1. Consolata Prosper Luguva – St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza – St. Francis
3. Wllhemia Steven – St. Francis
4. Cronel John – St Francis
5. Merry George Ngoso – St Francis
6. Holly Beda Lyimo – Bright Future Girls
7. Brandina – St. Francis
8. Imamu Suleiman – Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili – Ilboru
10. Clara Straton – St. Francis
Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;
Social Plugin