Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba turatarajia kufungua Hotel yetu tarehe 29.01.2022 siku ya Jumamosi. NZENGO APPARTMENTS ipo mtaa wa Mission Mbulu, karibu kabisa na Mbulu B' Primary School Mjini Kahama. Tunatoa Huduma ya Malazi, Chakula na Vinywaji. Wote mnakaribishwa!!
Social Plugin