RAIS SAMIA AMTEUA MWAKILEMA KUWA KAMISHNA WA UHIFADHI TANAPA
Tuesday, January 11, 2022
Rais Samia Suluhu amemteua Mhifadhi William Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Kamishna wa shirika hilo.
Mhifadhi Mwakilema anachukua nafasi ya Dkt. Allan Herbert Kijazi ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin