Mwanaume kutoka Afrika Kusini aitwaye Zandile Mafe (49) amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo la ugaidi baada ya kukamatwa maeneo ya Bunge la Nchi hiyo muda mfupi baada ya Bunge kuwaka moto January 02,2022.
Mwanaume huyo anatuhumiwa kuchoma Bunge ambapo camera za CCTV zilimdaka akiwa maeneo ya Bunge.
Anatuhumiwa pia kwa nia ya kutaka kuiba laptop na kumbukumbu nyingine muhimu za Kibunge.
Social Plugin