Rapper Machine Gun Kelly (31) amethibitishwa kwenye Jarida la Vogue kuwa pete ya mchumba wake Megan Fox (35) imewekewa miiba na kila akijaribu kuivua atapata maumivu makali.
MGK Alikuwa akiongelea uchumba wao, amefunguka kuwa; “Ni miba kwenye pete yake, akitoa ataumia, YES LOVE IS PAIN”.
Ingawa kitendo hichi kimechukuliwa kama MGK anataka kumkomoa Megan kama wataachana. Lakini hata hivyo wapenzi hawa hawana tatizo na pete hio yenye mawe mawili ya Emerald, MGK alimvalisha pete Megan Januari 11 2022.
Social Plugin