Waandishi wa habari waliofariki dunia kwenye ajali ya gari leo....
Hapa chini ni ratiba ya kuaga miili ya marehemu kesho Jumatano Januari 12,2022 katika uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza
............................................
Ndugu waandishi wa habari na wadau wa habari , asubuhi ya leo tuliwataarifu taarifa ya awali juu ya ajali ya waandishi wenzetu wa Mkoa wa Mwanza.
Baada ya kufika kwenye Zahanati ya Busenga nilipewa jukumu la kuwataambua marehemu.
Waliofariki ni
1.Husna Milanzi - ITV
2.Johari Shani - Uhuru Digital
3.Antony Chuwa - Freelancer
4.Abel Ngapenda - Afisa Habari ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza
5.Steven Msengi - Afisa Habari Ukerewe.
Majeruhi.
1.Tunu Heman - Freelancer
2 Vany Charles - Icon TV
Kwa sasa tupo njiani na miili ya wapendwa wetu kuelekea hospitali ya Mkoa ya Seketoure Mwanza.
Kwa mujibu wa kamanda wa Polisi Simiyu chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa magari yote mawili na amethibitisha vifo hivyo.
Taarifa nyingine za uratibu wasibu wa msiba tutawajuza.
Mwanza press club tumepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu.
Kazi ya Bwana haina makosa, jina lake lihidimiwe.
Edwin Soko
Mwenyekiti
Mwanza Press Club
11.01.2022
UTPC
It with a great sadness that we have received information about the death of five journalists caused by a tragedy accident occurred in Busega Simiyu today.
Among the dead are;
1. Johari Shani -Uhuru Digital
2. Husna Milanzi - ITV
3. Abel Ngapemba - Mwanza Regional Information Officer
4. Antony Chuwa - Habari Leo Digital
5. Steven Msengi - Ukerewe Information Officer
Journalists who were injured in this accident are:
1. Tunu Hermany - Freelance Journalist
2. Van Charles - Icon TV
We offer our sincere and deepest condolences to all journalists, friends and relatives for this tragedy. May their soul rest in peace. Amen
More information will be provided later.
Social Plugin