Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Live : KUAGWA KWA MIILI YA WANAHABARI WALIOFARIKI KATIKA AJALI

Miili ya wanahabari watano na dereva wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza waliofariki katika ajali ya gari jana Januari 11 imewasili katika uwanja wa michezo wa Nyamagana tayari kwa ajili ya heshima za mwisho.

Ajali hiyo ya Januari 11,2022 ilihusisha magari mawili likiwemo la abiria aina ya Toyota Hiace na jingine lenye namba za usajili STK 8140 mali ya Serikali lililokuwa limebeba waandishi wa habari mkoa wa Mwanza wakitokea Mwanza kuelekea Ukerewe kupitia Bunda, Mara baada ya kugongana uso kwa uso.
 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com