Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku 'Msukuma' amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania.
Msukuma amechukua fomu hiyo leo Jumanne Januari 11, 2022 katika ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Social Plugin