Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : KIKOSI CHA MAKOMANDO SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR


Kikundi cha Komando kikipita kutoa heshima wakati wa Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12, 2022 katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar.
Ni Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar.
Mgeni Rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Mwinyi ambapo pia Hafla hiyo pia imehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan .



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com