**********************
NA EMMANUEL MBATILO
KLABU ya Simba imelazimishwa sare dhidi ya Mlandege Fc katika michuano ya Mapinduzi Cup yanayoendelea visiwani Zanzibar.
Kwa matokeo hayo Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo na kuungana na mahasimu wao Yanga pamoja na Azam ambao nao wameingia kwenye hatua hiyo.
Simba Sc iliwachezesha baadhi ya wachezaji ambao kwenye mechi iliyopita hawakuwepo kutokana na kupewa mapumziko.
Social Plugin