Padre Sospiter Shole enzi za uhai wake
**
Padre Sospiter Shole wa Jimbo Katoliki Shinyanga amefariki dunia leo asubuhi Alhamisi Januari 6,2022 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza.
Taarifa za kifo cha padre Sospiter zimetolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumanne Januari 11,2022 katika makaburi ya mapadre yaliyopo jimboni Ngokolo Shinyanga
Social Plugin