Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni Bw. Solomon Itunda akitaja idadi ya wanachama waliochukua kwa ajili ya kuomba nafasi ya kuwania uspika katika Ofisi za Makao makuu ya CCM Dodoma leo Januari 12,2022.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi CCM, Cathbert Midala.
Itunda akizungumza na waandishi wa habari alipokuwa akitaja idadi ya wanachama wa CCM waliochukua fomu kufikia 30 jioni Januari 12,2022.
Social Plugin