Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Vodacom Tanzania Plc, Jaji (Mstaafu) Thomas Mihayo mara baada ya Kuhitimisha ziara Ofisi za Makao Makuu ya Kampuni hiyo. Picha Na: TCRAWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipata maelezo ya namna huduma kwa wateja inavyotolewa katika Kampuni ya Mawasiliano. Picha na: TCRAWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipokelewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel. Picha na: TCRAWaziri Wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipata Maelezo ya namna Huduma kwa Wateja inavyotolewa katika Kampuni ya Mawasiliano. Picha Na: TCRA
Social Plugin