Video Mpya : AWILO MKONGOMAN - SAMIA..NGOMA BORA KABISA KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA
Sunday, March 06, 2022
Nakualika kutazama Video ya Msanii Awilo Mkongoman 'Awilo Mkongoman wa Kinyamwezi' inaitwa Samia... Wimbo huu unahusu masuala ya Ukatili wa Kijinsia. Awilo Mkongoman anaihamasisha jamii kuachana na vitendo vya ukatili wa kijinsia... Tazama Video hii ni nzuri sana
Social Plugin