Ninao wimbo mpya wa Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Elizabeth Maliganya sasa Eliza Band inaitwa Nalija Mwigulhu (Naenda Mbinguni)... Huu ni wimbo mzuri sana wa Injili ambao mbali na kuimba kwa Lugha ya Kisukuma amenogesha video ya wimbo huu kwa kuuwekea maneno ya Kiswahili ili kuwawezesha watazamaji wasioelewa Kisukuma kuelewa maana ya wimbo huu. Moja kati ya nyimbo maarufu za Elizabeth Maliganya ni ule wa Ng'wanike Bhejaga Kaya ambao umekuwa gumzo kila mahali.
Tazama Video ya Nalija Mwigulhu wa Eliza Band Hapa chini
Social Plugin