Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye wamezindua Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022. Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye wakitembelea banda la Kampuni ya TANZGraphite katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022.
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye wakitembelea banda la Kampuni ya FARU Graphite Corparation katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022. Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye wakitembelea banda la Kampuni ya SHANTA GOLD katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022.
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza jambo na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022.
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye wakitembelea banda Tume ya Madini katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022. Baadhi ya Wananchi wakitembelea banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)
Social Plugin