Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali.
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Said imeeleza kuwa Rais Dk. Mwinyi amechukua uamuzi huo kuanzia leo, Februari 17, 2022.
Social Plugin