Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CHUO CHA MADINI SHINYANGA 'ESIS' KIMETANGAZA NAFASI ZA MASOMO ELIMU YA MADINI, MAFUTA NA GESI ASILIA


Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Sciences Institute of Shinyanga - ESIS) kinatangaza nafasi za masomo elimu ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia katika ngazi ya Cheti na Diploma kwa mhula wa masomo 2021/2022.

 Mwisho wa kutuma maombi ni Machi 30,2022.

Kwa Mawasiliano tupigie kwa simu namba 0765434604 au 0687 434617 email: info@esis.ac.tz tovuti www.esis.ac.tz

Chuo cha ESIS kipo karibu na Uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga katika majengo ya Chuo Huria cha Tanzania.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com