Baadhi ya Wanawake wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakipita kwa mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati wa maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo March 08, 2022 ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wanawake wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakifurahia wakati wa maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma leo March 8,2022.
Social Plugin