RAIS SAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM UTAKAOFANYIKA KESHO
Thursday, March 31, 2022
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 31 Machi, 2022 amekagua maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma utakaofanyika kesho April 01, 2022.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin